Kiwaneci

Kiwaneci ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wawaneci. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiwaneci imehesabiwa kuwa watu 108,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiwaneci kiko katika kundi la Kipashto.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search